Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Risasi, leo Jumatano
Mbunge Viti Maalum afumaniwa
-Alimpangia chumba hotelini mchepuko wake
-Mumewe aunasa mchongo mzima
-Awaibukia
-Mgoni achezea kichapo
-Soo latinga polisi
-Unataka kumjua mbunge mwenyewe sasa, na movie nzima ilivyochezwa?
Siku chache baada ya kumbadili dini….Uchumba wa wema, Mnamibia chali!
-Mnamibia alia machozi
-Idris atajwa
–Unataka kujua sekeseke hilo?
Mke wa kigogo apagawa jumba lake likivunjwa
-Ni la mil. 500
-Mumewe ampigia simu mtoto wa rais, ampotezea
Kufahamu undani wa haya na mengine, soma Gazeti la Risasi Mchanganyiko, leo Jumatano.