The House of Favourite Newspapers

Dabo Atua As Vital Club Baada Ya Kuachwa Azam

0

Klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imethibitisha kumteua aliyekuwa kocha wa Azam Fc, Youssoph Dabo kuwa kocha mkuu klabuni hapo.

Dabo raia wa Senegal anarejea kibaruani wiki chache baada ya kutupwa virago na Azam Fc baada ya Wanalambalamba hao kuondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Leave A Reply