The House of Favourite Newspapers

ZAHERA Amchambua KINDOKI Ammwagia Misifa NINJA – Video

Licha ya kushindwa kucheza katika mchezo wa jana dhidi ya Biashara United ya mkoani Mara, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka mambo kadhaa kuhusiana na kipa, Klaus Kindoki na mfungaji wa bao la kwanza la Yanga dhidi ya Biashara, beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’.

MSIKIE ZAHERA AKIFUNGUKA – Video

Comments are closed.