ZaiiD… WOWOWO Yatikisa Dar Live – Video

Msanii wa Bongo Fleva, ZaiiD ambaye alitambulika kutokana na nyimbo yake iliyoitoa ya WOWOWO usiku wa kuamkia leo amepiga Bonge la Shoo kwenye Ukumbi wa Dar Live pale Mbagala Zakhiem na kuwaacha mashabiki hoi baada ya kupanda jukwaani na “wowowo…”

 

Katika shoo hiyo iliyopewa jina la Toka na Mshikaji. mashabiki kibao walikuwepo kushuhudia burudani hiyo ya aina yake. Mbali na ZaiiD, pia alikuwepo Young Dee na wasanii wengine waliokinukisha.

 

VIDEO: SHUHUDIA MWENYEWE TUKIO HILO


Loading...

Toa comment