The House of Favourite Newspapers

Zari, King Bae mahaba kama yote!

Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

UNAAMBIWA Instagram kumechafuka balaa! Zilipendwa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na mpenzi wake mpya maarufu kwa jina la King Bae mambo ni moto, wanaoneshana mahaba kama yote!

 

Achana na yale maua ya mara kwa mara ambayo Zari amekuwa akipewa na kuyaposti, sahau kuhusu yale magari ya kifahari ambayo Zari amekuwa akionekana nayo, wiki hii mwanamama huyo wa Kiganda mwenye maskani yake Afrika Kusini ametupia picha ya mkono wa mpenzi wake ukiwa umegusana na wake wakiwa wamekaa kwenye kochi kimahaba.

Wananzengo acha wapongeze lakini kama ilivyo kawaida, wapo pia walioponda na kusema hawajapendeza na wengine wakisema bora alivyokuwa na Diamond.

STORI NA IMELDA MTEMA | GPL

KAYUMBA – “UWOYA Mzuri, WANAMTONGOZA Sana, Hajawahi Kuninunia”

Comments are closed.