The House of Favourite Newspapers

ZIFAHAMU AINA 10 ZA SAA ZA GHARAMA ZAIDI DUNIANI

SAA tunazovaa kwenye mikono hutusaidia kuelewa muda au wakati, lakini pia ni alama ya utajiri ambao unaweza kujivunia bila hata ya kusema neno moja.  Zifuatazo ni aina 10 ya saa za gharama zaidi duniani.

1.  Graff Diamonds Hallucination – Bei yake Dola milioni 55 (Sh. bil. 125)
Saa hii ina mkanda ulio na carat 110 za almasi.

2. Graff Diamonds The Fascination – $40 Million (Sh. bil. 91)
Ina mkanda wa carat 153 za almasi nyeupe, na 38 zenye taswira ya lulu.

3. Breguet Marie-Antoinette Grande Complication Pocket Watch – $30 Million (Bil 68)

4. Chopard 201-Carat Watch – $25 Million (Bil. 56)
Ina carat 15 za almasi ya pinki, 12 za bluu na 11 nyeupe.


5. Patek Philippe Henry Graves Supercomplication – $24 Million (Bil 54)
Ina zana zote za kalenda, nyakati, macheo na machweo, na kadhalika.

6. Jacob & Co. Billionaire Watch – $18 Million (Bil. 41)
Ina carat 260 za madini ya emerald.

7. Patek Philippe Ref. 1518 in Stainless Steel – $11 Million (Bil. 25)

8. Hublot Big Bang – $5 Million (Bil. 11)
Ina vipande 1280 vya almasi.
9. Louis Monet Meteoris – $4.6 Million (Bil. 9)

10. Breguet Antique Number 2667 – $4.5 Million (Bil. 7)

Comments are closed.