Zijue Gari 10 Bora Na Mpya Zitakazoingia Sokoni Mwaka 2019 (PICHA)
Kama wewe ni mpenzi wa magari au unahitaji kununua gari hivi karibuni,Fursa ni kwako kwenda na wakati kwa kujua magari mazuri ambayo yanakimbiza sokoni na kufanya vizuri hasa kwa mauzo ki dunia.
Fursa kwako kuyajua magari makali 10 bora na mapya ambayo yataingia sokoni mwaka 2019 yakiwa yameboreshwa muonekano pamoja na uwezo.
10:Suzuki Jimny
09:Hyundai-i30 Fastback N Line
08: Honda Civic Coupe
07:Mercedes-Benz AMG GT43
06:BMW X7
05:Aston Martin DBS Superleggera White Stone
04:Ferrari-Monza_SP1
03:Ferrari-Monza_SP2
02: Lamborghini Aventador SVJ
01:Bugatti-Divo
- ISIKUPITE:Spika ‘Ashindwa Kujizuia’ Awaambia Chadema “Vumilieni sindano tu”
Â
Comments are closed.