visa

Zijue Gari 10 Bora Na Mpya Zitakazoingia Sokoni Mwaka 2019 (PICHA)

Kama wewe ni mpenzi wa magari au unahitaji kununua gari hivi karibuni,Fursa ni kwako kwenda na wakati kwa kujua magari mazuri ambayo yanakimbiza sokoni na kufanya vizuri hasa kwa mauzo ki dunia.

Fursa kwako kuyajua magari makali 10 bora na mapya ambayo yataingia sokoni mwaka 2019 yakiwa yameboreshwa muonekano pamoja na uwezo.

10:Suzuki Jimny

09:Hyundai-i30 Fastback N Line

08: Honda Civic Coupe

07:Mercedes-Benz AMG GT43

06:BMW X7

05:Aston Martin DBS Superleggera White Stone

04:Ferrari-Monza_SP1

03:Ferrari-Monza_SP2

02: Lamborghini Aventador SVJ

01:Bugatti-Divo

 

  • ISIKUPITE:Spika ‘Ashindwa Kujizuia’ Awaambia Chadema “Vumilieni sindano tu”

 
Toa comment