Zitto Apigwa ‘Stop’ Kigoma

POLISI mkoani Kigoma imezuia mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, uliopangwa kufanyika leo Januari 17, 2020,  kwa sababu zilizotajwa kuwa ni za kiusalama zilizotokana na taarifa za kiintelijensia.


Loading...

Toa comment