The House of Favourite Newspapers

Zitto ‘Awanyima’ Posho Wenyeviti Wote Serikali za Mtaa “Ni Batili”

0

 

Baraza la Halmashauri ya Kigoma Ujiji linaloongozwa na Chama Cha ACT Wazalendo chini ya kiongozi wao Mkuu, Zitto Kabwe, limekubaliana kwa kauli moja na kupitisha azimio la kutokuwalipa posho wenyeviti wote 68 wa Serikali za Mitaa 68 waliopita kupitia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 2019.

 

Baraza hilo limepitisha maazimio hayo kwa kile walichodai kuwa wenyeviti hao walipita katika uchaguzi huo kibatili na si halali.

Leave A Reply