The House of Favourite Newspapers

Zitto Kumsindikiza Nondo Uhamiaji, Awaita Wazee wa Ujiji Kumaliza Mambo

KIONGOZI WA Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema atamsindikiza Mwenyekiti Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo katika Ofisi za Makao Makuu ya Uhamiaji hapa nchini.

Comments are closed.