The House of Favourite Newspapers

ZITTO AZUILIWA KUMSHIKA MBOWE MKONO MAHAKAMANI – VIDEO

Leo Novemba 30, 2018 mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, na Mbunge Wa Tarime, Ester Matiko, wamefikishwa mahakama kuu kanda ya Dar kusikiliza shauri la rufaa waliyokata juu ya kupinga kufutiwa dhamana na mahakama ya hakimu mkazi kisutu.

 

Vingozi mbalimbali wamefika mahakamani hapo ili kufuatilia kwa karibu Rufaa hiyo ambapo Zitto Kabwe alizuiwa kumshika Mbowe Video hii inakuonesha kila kitu.

Comments are closed.