Kisa Mo, Zahera Amtimua Cannavaro Yanga

  KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa yeye ndiye alimtimua meneja wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuonekana kwenye ofisi ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mo licha ya yeye kufafanua kuwa alikuwa na ishu zake.   Lakini siyo hilo tu, Zahera amemhusisha staa huyo wa Zanzibar mwenye heshima Yanga na bao … Continue reading Kisa Mo, Zahera Amtimua Cannavaro Yanga