Bunge Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Kesho
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa na shughuli muhimu ya kuthibitisha uteuzi wa Waziri…
Mahakama Yaahirisha Kesi ya Uhaini ya Lissu Hadi Ratiba Mpya – Video
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa kwa muda hadi Msajili wa Mahakama atakapopanga ratiba mpya, kwani kesi inasikilizwa kwa vipindi.
Kesi hiyo imeahirishwa…
Maandamano ya Oktoba 29 Hayakuwa Halali, TPBA Yatamka
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimetoa tamko rasmi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 hadi Novemba 4, 2025, kikisisitiza umuhimu wa kuheshimu utawala wa sheria, wajibu wa raia, na…
Mchezaji wa Yanga Aziz Andabwile Awatoa Taarifa Kuhusu Sintofahamu Mitandaoni
Mchezaji wa Klabu ya Yanga SC, Aziz Andabwile ameweka wazi ukweli kuhusu taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikimhusu yeye na Klabu hiyo.
Kupitia taarifa yake kwa umma, mchezaji huyo amesema kuwa bado ni mchezaji halali wa Yanga SC…
Yanga Yaonywa na Bodi ya Ligi Kwa Kuvunja Ratiba ya Mchezo
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetoa Onyo Kali kwa Klabu ya Young Africans SC kutokana na kushindwa kufuata ratiba ya matukio ya mchezo (match countdown) kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar FC, uliochezwa Oktoba…
Cheza, Bashiri, na Ushinde Simu Mpya ya Kisasa na Meridianbet
Je unajua kuwa leo hii ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kujishindia Samsung A26?. Ni kwa dau la 5000 pekee ndilo litakufanya uwe na mshindi sasa hivyo usingoje kupitwa na fursa hii leo.
Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet…
Wabunge Walivyowasili Bungeni Kwa Kikao cha Pili cha Bunge la 13 leo
Wabunge wa Bunge la Kumi na Tatu walivyowasili katika viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma, leo Novemba 12, 2025, kwa ajili ya Kikao cha Pili cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge hilo jipya.
Kikao hiki kinatarajiwa kuendelea na shughuli za…
Mvutano Mkali Kati ya Hispania na Barcelona Kuhusu Lamine Yamal
Mvutano mkubwa umeibuka kati ya Shirikisho la Soka la Hispania (RFEF) na klabu ya Barcelona baada ya shirikisho hilo kulalamika kuwa halikujulishwa mapema kuhusu hali ya kiafya ya nyota chipukizi Lamine Yamal.
Kwa mujibu wa taarifa…
Ukurasa Mpya wa Historia: Mhe. Shigongo Aapa Kulitumikia Taifa kwa Uzalendo na Uadilifu
Katika ukumbi wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana taifa lilishuhudia tukio lenye thamani ya kipekee katika historia ya uongozi wa kisasa. Mbele ya Bunge Tukufu, Mhe. Eric James Shigongo aliapa kwa moyo wa uzalendo,…
Wanawake Wengi Wapo Jela India Kisa Unga
Mwanadada ambaye alikuwa akiishi nchini India kwa ajili ya majukumu ya kikazi, amerejea nchini na kufunguka kuhusu mambo mbalimbali aliyokutana nayo wakati wa kazi.
Amesema kuwa wanawake wengi nchini India wanajikuta wakirubuniwa na…
