Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole

  MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake ni bora asiwepo duniani kabisa.   Akipiga mastori na Over Ze Weekend, Uchebe alisema kuwa, pamoja na kwamba amegundua Shilole alirudisha mapenzi na bwana’ke wa zamani, Nuh Mziwanda lakini hayuko tayari kumuacha.   “Ninajua amenikosea … Continue reading Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole