Lwandamina Atimka Yanga, Atua Zesco

HATIMAYE kocha wa Yanga, George Lwandamina, jana aliwashangaza wengi baada ya kutimka kwenye timu hiyo kimyakimya na kujiunga na timu yake ya zamani Zesco. Lwandamina mwenye miaka 54, alijiunga na Yanga msimu uliopita akitokea Zesco na heshima kubwa aliyonayo hapa nchini ni kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu uliopita.   Jana … Continue reading Lwandamina Atimka Yanga, Atua Zesco