×


Burudani


Wolper Kasahau Maumivu ya Mapenzi

KWELI au anazuga? Mkali wa sinema za Kibongo ambaye amegeukia kwenye ubunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa sasa hivi amesahau maumivu ya mapenzi….

SOMA ZAIDIUWOYA KWELI KAFUNGA VIOO

HATAKI shobo! Mwanamama sexy kunako kiwanda cha filamu za Kibongo ambaye ni mkali wa kupigilia pamba za bei mbaya kila kukicha, Irene Pancras Uwoya amesisitiza…

SOMA ZAIDIAUNT AFUNGUKA KUMSALITI IYOBO

VUNJA ukimya! Baada ya mapichapicha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii yakimuonesha staa mkubwa wa Bongo Movies, Aunt Ezeikiel Grayson akiwa na bwana’ke mpya, mengi yamezungumzwa…

SOMA ZAIDI


MIMBA YA TANASHA FAMILIA YACHEKELEA

DAR ES SALAAM: Mpenzi wa sasa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameibua gumzo kufuatia muonekano wake wa sasa unaomuonesha akiwa na…

SOMA ZAIDI

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu sahihi kutegemea mtu anaposimama wakati…

SOMA ZAIDI

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto ulikuwa unawaka kila uchwao. Tangu…

SOMA ZAIDIMajibu Ya Zari Kwa Diamond Platnumz

MZAZI mwenza wa mwanamuziki Diamond Platnumz,  Zari Boss Lady,  amefunguka baada ya msanii Diamond kuongea mengi kuhusu mahusiano yao yaliyopita ndani ya kituo chake cha…

SOMA ZAIDI


MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi hata kidogo kwenye kufanya mambo…

SOMA ZAIDI

AMINI TRUE LOVE NEVER DIE !

NI kitambo kidogo mambo yamekuwa ni moto kati ya wasanii wa muziki Bongo, Amini Mwinyimkuu na Asterlina Sanga ‘Linah’. Awali yalikuwepo madai kuwa penzi lao…

SOMA ZAIDI


BABA Mondi Apata Shavu Lingine

NYOTA ya jaa inazidi kumuangukia baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Abdul Juma baada ya kupata shavu la kurekodi wimbo mwingine…

SOMA ZAIDI