EPL Inarejea Tena ni Ni Liverpool dhidi ya Chelsea ‘Darajani’

Msimu wa 2020/21 umeanza kwa kasi, timu mbalimbali zimeanza kwa matokeo mazuri kwenye michezo yao ya kwanza. Tukiwa kwenye michezo ya wiki ya pili, tunaanza kupata ladha ya ‘Big Match’. Wikiendi hii ni Mabingwa Watetezi wa EPL – Liverpool dhidi ya vijana wa ‘Darajani’ – Chelsea.   Liverpool ambao walikuwa na msimu mzuri 2019/20 kwa … Continue reading EPL Inarejea Tena ni Ni Liverpool dhidi ya Chelsea ‘Darajani’