JPM Abaini Airtel ni Mali ya Serikali, Ataka Uchunguzi Ufanyike (Video)

RAIS Dkt. John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania (TTCL) kumwagiza Waziri wa fedha na mipango kufuatilia suala hilo haraka ili Airtel irudishwe kumilikiwa na serikali.   Rais ameyasema hayo leo Desemba 20 wakati akizungumza katika Jengo ambalo litakuwa makao makuu ya Ofisi za … Continue reading JPM Abaini Airtel ni Mali ya Serikali, Ataka Uchunguzi Ufanyike (Video)