KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI -3

NILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Nakumbusha kuwa katika uumbaji Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Wiki kadhaa niliona ni vyema tukajifunza vitu nje ya boksi. Ni juu ya uwepo wa viumbe wa ajabu waishi angani waitwao aliens. Kwa muda mrefu viumbe hawa wamekuwa wakiuhusishwa na upotevu wa vitu na watu duniani.   Wiki iliyopita niliishia pale tulipokuwa … Continue reading KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI -3