SNP: TAHLISO WANAMAMLAKA GANI YA KUTUKATAZA TUSIMTETEE AKWILINA? (Video)

Ndugu waandishi wa habari, leo tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo juu ya tuhuma zilizotolewa na TAHLISO dhidi ya TSNP mnamo tarehe 3/3/2028. Taasisi yetu ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa tarehe 23/10 /2001.  Lengo kubwa ikiwa ni kutetea wanafunzi kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu na kuwapa utambuzi watambue na kutimiza wajibu wao kikamilifu. Ndugu … Continue reading SNP: TAHLISO WANAMAMLAKA GANI YA KUTUKATAZA TUSIMTETEE AKWILINA? (Video)