NABII ‘MTOTO’ ATIKISA DAR, ANA MIAKA 22, UTAJIRI WAKE UNATISHA – VIDEO

KILA kukicha wanatokea manabii wanaokuja na staili mbalimbali za mahubiri na miujiza ya kila aina, wakati Nabii Tito ambaye alikuwa akihubiri mitaani kwamba kuzini na kulewa siyo dhambi akisota Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma baada ya kuonekana kwamba ana matatizo ya akili, mwingine aliyetambulika kwa jina la Daniel Daniel Shillah (22), ameibuka na kutikisa Jiji … Continue reading NABII ‘MTOTO’ ATIKISA DAR, ANA MIAKA 22, UTAJIRI WAKE UNATISHA – VIDEO