Nuh Mziwanda Noma Aijibu Ndoa Ya Shilole

MWANAMUZIKI anayefanya poa Bongo, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuolewa naye ameijibu ndoa hiyo kwa kujiweka kwa msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia anakuja kwa kasi kwenye anga za muziki, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ambapo picha zao za kimahaba zimenaswa.   Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo … Continue reading Nuh Mziwanda Noma Aijibu Ndoa Ya Shilole