Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa pamoja na msanii mwenzake Faiza Ally kumtukana mitandaoni kwa kutumia kazi yake ya muziki lakini atakuwa amepata funzo kwa yale aliyomwambia kwani hatarudia tena kile alichokifanya cha kuweka video ya kujifungua mtandaoni na anachoona yeye Faiza anatafuta pa kutokea. Akiongea na Risasi Jumamosi, Snura alisema kuwa kwanza yeye … Continue reading Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea