TAMISEMI Yaomba Tril.10 kwa Mwaka 2024/25 – Video

OFISI ya Rais – TAMISEMI, taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni 9.18, kati ya fedha hizo, trilioni 3.52 ni fedha za maendeleo na trilioni 5.65 … Continue reading TAMISEMI Yaomba Tril.10 kwa Mwaka 2024/25 – Video