MAMA ALIA… NATESEKA ZAIDI YA WASTARA

  Hujafa hujaumbika! Wakati staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiendelea kuomba michango kwa Watanzania ili akatibiwe mguu nchini India, mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sidonia Ntabashigwa mkazi wa Salasala jijini Dar yupo hoi kitandani akisema, anaamini mateso anayopata ni makubwa mno kuliko hata ya msanii huyo. Akizungumza na Amani mama huyo alisema, … Continue reading MAMA ALIA… NATESEKA ZAIDI YA WASTARA