Denti UDSM Aliyetuma Picha za Nyufa Mabweni ya Magufuli Adakwa na Polisi

KIJANA Kumbusho Dawson Kagine ambaye ni Mbunge katika Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amekamatwa na Jeshi la Polisi Dar kwa kosa la kutuma picha za Hosteli za Magufuli katika chuo hicho na kupelekwa katika Kituo cha Polisi UDSM ambapo baadaye amepelekwa Police Central.   Kabla ya kukamatwa kwake, kiajana huyo … Continue reading Denti UDSM Aliyetuma Picha za Nyufa Mabweni ya Magufuli Adakwa na Polisi