GAME 1: Golden Warriors Waichapa Cleveland Cavaliers 124-114

SHUGHULI ya fainali ya Ligi ya Mpira wa Kika­pu ya Marekani (NBA) imeanza baada ya Golden State Warriors kuiliza Cleveland Cavaliers 124-114 kwenye mechi ya kwanza usiku wa kuamkia jana Iju­maa.   Mechi hiyo ili­kuwa kali huku kipindi cha kwanza kikisisimua zaidi, ambapo timu zote mbili zilikuwa zi­najaribu kufunga pointi kwa mitupo ya mbali. Kipindi … Continue reading GAME 1: Golden Warriors Waichapa Cleveland Cavaliers 124-114