Necta Yazifungia Shule 24 kwa Kufanya Udanganyifu Mtihani la Saba …Ipo Rweikiza ya Bukoba, Al-hikma Dar

  Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Hayo yameleezwa leo Desemba Mosi na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athuman Amasi wakati akitangaza matokeo … Continue reading Necta Yazifungia Shule 24 kwa Kufanya Udanganyifu Mtihani la Saba …Ipo Rweikiza ya Bukoba, Al-hikma Dar