Wanajeshi 14 Watanzania Wauawa DR Congo

Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa takribani wanajeshi 14 kutoka Tanzania waliokuwa wanalinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo (DRC) wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa vibaya baada ya kambi yao kuvamiwa na waasi mapema leo.   Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres kupitia mtando wa … Continue reading Wanajeshi 14 Watanzania Wauawa DR Congo