BREAKING NEWS: WATANO WAFARIKI AJALINI MANYONI, SINGIDA

WATU watano wamefariki jioni ya leo baada ya gari dogo linalomilikiwa na Wizara ya Kilimo na Chakula kupinduka katika eneo la Njiri wilayani Manyoni mkoani Singida. Kamanda ya Polisi Mkoa wa Singida, ACP Sweetbert Njewike, amethibitisha kwamba ajali hiyo imehusisha magari mawili, moja lenye namba za usajili STK  8925 la Wizara ya Kilimo na Chakula  … Continue reading BREAKING NEWS: WATANO WAFARIKI AJALINI MANYONI, SINGIDA