×

Diamond Ajinyakulia Tuzo Nyingine Kenya

DIAMONDSupastaa wa Bongo fleva Diamond Platnumz “Baba Tiffah” ameshinda tuzo za Bingwa Music, kipengele cha Msanii wa Mwaka kutoka Tanzania, tuzo zimefanyika usiku wa kuamkia leo nchini Kenya.

@diamondplatnumz is the Tanzanian artist of the year. #BingwaMusicAwards

A photo posted by Bingwa Music Awards (@bingwaawards) on

Leave a Comment