×


FacebookKimataifa


Rwanda Yaanza Kuunda Smartphone Zake

KAMPUNI ya Mara nchini Rwanda imezindua simu mbili za kisasa, (smartphones) ikiwa ni nchi ya kwanza ‘kutengeza aina hiyo ya simu barani Afrika’,  hatua inayodhihirisha…

SOMA ZAIDI


Kwanini Trump Anabeba Pesa Mfukoni

Wakati akipanda ndege kuelekea  California, Rais Trump wa Marekani alipigwa picha zikimuonyesha kuwa na noti nyingi za dola 20 zilizoonekana kwenye mfuko wake wa nyuma….

SOMA ZAIDI


Rais Ben Ali Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Tunisia, Zine Abidine ben Ali aliyeitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miongo miwili amefariki dunia uhamishoni nchini Saudi Arabia. Habari hizo…

SOMA ZAIDI

Mali za Mugabe Kaa la Moto!

SIKU chache baada ya mazishi ya kihistoria ya rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe kufanyika; mali zake zimegeuka kaa la moto kwa warithi wake….

SOMA ZAIDI


Mwili wa Mugabe Wawasili Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, umewasili katika uwanja mkuu wa ndege nchini humo ambapo siku ya mazishi yake bado ina utata kati…

SOMA ZAIDI