×

Kitaifa

Wakala wa Vipimo Atangaza Nafasi Tisa (9) za Kazi za Kujitolea, Maombi Mwisho Oktoba 2

Wakala wa Vipimo (WMA) umetangaza nafasi tisa (9) za kazi za kujitolea kwa wahitimu wa Kitanzania, kwa kipindi cha miezi...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje Iran Awasili Marekani Kwa Mkutano wa UN

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amewasili mjini New York, Marekani, akiwa anaongoza ujumbe wa kidiplomasia wa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kifo cha Mama Fatma Karume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na...

READ MORE

Inter Milan Kuanza na BK Häcken Ligi ya Mabingwa Ulaya

  Mechi ya kwanza ya hatua ya ligi ya Mabingwa ya Wanawake UEFA itafanyika Jumanne, Septemba 22, 2026, saa 19:45...

READ MORE

UDOM Yatangaza Nafasi Mpya za Kazi 15, Maombi Septemba 28, 2026

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa Watanzania wenye sifa zinazohitajika, kwa ajili ya kujaza nafasi...

READ MORE

Rais Mwinyi Atuma Salamu za Pole kwa Familia ya Mama Fatma Karume

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametuma salamu za pole kwa Rais...

READ MORE

Marekani Yatangaza Hatua Kali Dhidi ya Mashirika ya Ndege ya Iran

NEW YORK, Marekani: Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, amesema mashirika ya ndege ya Iran yanatarajiwa kukabiliwa na vikwazo...

READ MORE

Mpigie Kura Godmuya, Kura Yako Ni Ushindi! – Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, Godfrey Nathan @godmuya ameteuliwa kuwania tuzo za Samia Kalamu Awards 2026. 👉 Piga kura kupitia:...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mama Fatma Karume Afariki Dunia Nyumbani Kwake Zanzibar – Video

Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia akiwa nyumbani...

READ MORE

Simba 10 Wakutwa Wamekufa Ngorongoro, Chanzo Chachunguzwa

Simba 10 wamekutwa wamekufa katika eneo la Ndutu, ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha, huku mamlaka zikianzisha...

READ MORE

Video: Dereva wa Basi Satco Adaiwa Kutishiwa kwa Bastola Dodoma

Tukio la aina yake limetokea katika eneo la Makole jijini Dodoma, baada ya dereva wa basi la kampuni ya Satco,...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahimiza Nchi Za Afrika Ziongeze Mapambano Dhidi Ya Sotoka

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika na washirika wa kimataifa ziweke kipaumbele kwenye ajenda ya kutokomeza ugonjwa...

READ MORE

Watu 12 Wafariki Ajali ya Lori na Gari la Jeshi la Polisi Singida

Watu 12 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha lori na gari la Jeshi la Polisi...

READ MORE

Elizabeth Makune Aibuka Miss Universe Tanzania 2026

DAR ES SALAAM: Elizabeth Makune kutoka Mwanza ametangazwa kuwa mshindi wa Miss Universe Tanzania 2026, baada ya kuibuka kidedea katika...

READ MORE

Early Payout: Chaguo jipya la kubashiri linalopatikana Meridianbet

Je unajua kuwa leo hii unaweza kutengeneza pesa na Meridianbet haraka sana kupitia chaguo la EARLY PAYOUT. Chagua mechi zako...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 21, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Ruvuma Yakanusha Taarifa za Ununuzi wa Coaster kwa Milioni 334

Songea, Ruvuma: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa imefanya ununuzi wa gari aina...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Uganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri...

READ MORE

Man City Yashinda 5-3, Haaland Aweka Rekodi Afunga Bao la 10

MANCHESTER, England — Manchester City imepata ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Awasili Roma, Italia Kumwakilisha Rais Samia

 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Coaster  Mpya Yazinduliwa Kwa Ajili ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster  lililonunuliwa kwa ajili ya...

READ MORE

Yanga Yatozwa Faini ya Milioni 5, Afisa Usalama Apelekwa Kamati Ya Maadili

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa adhabu mbalimbali kwa klabu, viongozi na waamuzi kufuatia mwenendo wa michezo ya Ligi...

READ MORE

Waziri Katambi Atoa Ufafanuzi kuhusu Mfumo wa Alama za leseni

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Paschal Katambi Patrobass, amesema Serikali imeanza kufanya majaribio ya mfumo wa alama za...

READ MORE

Pia Sloti: Mchezo Wenye Mandhari ya Marekani ya Kale na Jackpot

Katika kasino, wakati mwingine kinachomvutia mchezaji si ushindi pekee, bali pia namna mchezo unavyompeleka kwenye ulimwengu mwingine. Pia Sloti imekuja...

READ MORE

Serikali Yatoa Tahadhari Athari za El Niño Katika Mvua Za Vuli

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kutokea kwa athari zinazohusishwa na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 20, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu kumwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Afya Moja Italia

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 19, 2026, kuelekea Roma,...

READ MORE

Chalamila Aagiza Familia ya Mushi Itafutwe, Ikamatwe – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi, kuhakikisha wanafamilia...

READ MORE

Iran Yamnyonga Mtu Aliyetiwa Hatiani kwa Ujasusi wa Mossad

Tehran, Iran — Iran imetekeleza hukumu ya kifo dhidi ya Hoseyn Paderan, aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kushirikiana...

READ MORE

JKT Yaweka Mkazo Uzalendo wa Kidijitali, Mabele Atoa Maagizo kwa Vijana – Video

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema somo la Uzalendo na Uzalendo wa Kidijitali katika...

READ MORE

Ndejembi Atoa Agizo Mto Ng’ombe, Taka Ziondolewe Haraka – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, tarehe 18 Septemba 2026, amefanya ziara ya kushtukiza katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Afunga Mkutano wa Makambi ya Waadventista Kinyerezi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameshiriki Ibada Kuu na Kufunga Mkutano wa Makambi ya Kanisa...

READ MORE

CCM Yapongeza ACT-Wazalendo Kuwasilisha Jina la Makamu wa Kwanza

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimepongeza uteuzi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kikisema hatua hiyo imekamilisha muundo...

READ MORE

Macho Yote Brighton! Arsenal Yalenga Kuendeleza Kasi EPL

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia miamba kibao ikishuka dimbani leo kwenye Ligi kuu ya EPL. Je ni Arsenal kujihakikishia...

READ MORE

Makamu wa Rais Ndejembi Aungana na Wananchi Kufanya Mazoezi Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameungana na wananchi mbalimbali kufanya mazoezi ya asubuhi katika...

READ MORE

Cardi B Avunja Ukimya Kuhusu Uvumi wa Kurudiana na Offset

RAPA kutoka Marekani, Cardi B, amevunja ukimya kuhusu uvumi unaodai kuwa anajaribu kurejesha uhusiano wake wa kimapenzi na aliyekuwa mume...

READ MORE

Kampeni Ya Tumaini Yafika Zanzibar, Yas Yatoa Vifaa Vya Uzazi Mwera Pongwe

Zanzibar, Septemba 18, 2026 – Kampeni ya Tumaini ya Yas Tanzania imefika Zanzibar, ambapo kampuni hiyo imekabidhi vifaa vya uzazi...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Burudani Mpya ya Kasino Kupitia Fortune Farm

Mchezo mpya unapofika kwenye ulimwengu wa kasino, mashabiki hutafuta kitu kinachoweza kuongeza ladha ya burudani yao. Fortune Farm ya Meridianbet...

READ MORE

Dereva Bodaboda Afungwa Miaka 30 Jela kwa Kumbaka Mwanafunzi Kigoma

UVINZA, KIGOMA — Mahakama ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Rajabu Uhuru (36), dereva...

READ MORE