×


HabariANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia ya mtandao wa simu.   …

SOMA ZAIDI

Yanga wapewa bei ya Tuyisenge

MENEJA wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba amewaambia viongozi wa Yanga iwapo wanahitaji saini ya mshambuliaji wa Gor Mahia wa Kenya, Jacques Tuyisenge wanatakiwa watoe kitita…

SOMA ZAIDI


AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa la maji lililopo katika Mtaa…

SOMA ZAIDI