×


Makala
DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema mchokoze chizi, haloooo eeeehh! Utajibeba…

SOMA ZAIDI

FANGASI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAUME

IDADI kubwa ya watu inasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri bila kujali jinsia na umri.  Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa…

SOMA ZAIDI


KUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za chumbani zaidi au nako­seaaa! Baada…

SOMA ZAIDINAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku chache zilizopita, nilitembelewa na mmoja…

SOMA ZAIDI


KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI -4

NILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo wapo wataalam wa anga wanadai Aliens wako mbali kimaendeleo ukilinganisha na binadamu na wanafanya wanavyotaka. SASA ENDELEA……

SOMA ZAIDI


BORA MONDI WA MBAGALA KULIKO WA MADALE

WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.    Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba…

SOMA ZAIDI


JUISI HAIWEKWI ASALI

PAMBEEE shoga wanakwam­bia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo? Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi…

SOMA ZAIDI