Baraza la Maaskofu Lapiga Marufuku Hotuba za Wageni Madhabahuni
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetangaza mabadiliko ya Liturujia, likiboresha baadhi ya vipengele vya ibada ikiwa ni pamoja na kuondoa rasmi nafasi ya wageni wakiwemo viongozi wa kiserikali kutoa hotuba, salamu au pongezi…