×

Global TV Online

Video: Muhimbili Yatoa Wito wa Kuchangia Damu Kuokoa Maisha ya Wajawazito

 DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili imewataka wananchi kujitokeza kwa wingi na kwa hiari kuchangia damu, ikisema upatikanaji...

READ MORE

Mvuvi Akaa Siku 4 Baharini, Ashuhudia Wenzake Wakifa, Afunguka – Video Part 1 & 2

Hemed Hashim Mohammed, mvuvi na mkazi wa Msasani Bonde la Mpunga jijini Dar es Salaam, amesimulia tukio la kutisha alilopitia...

READ MORE

Arusha Imenoga! Shusho, Rose Muhando, Upendo Nkone Wanawasha Moto Leo

ARUSHA: Viwanja vya Shule ya Sekondari Sinon vimegeuka kuwa kitovu cha sifa na ibada, huku mamia ya washiriki wakikusanyika kumsifu...

READ MORE

Shigongo Asikiliza Kero za Wananchi Buchosa, Aweka Wazi Mipango ya Maendeleo – Video

BUCHOSA: Mamia ya wananchi wa Jimbo la Buchosa wameendelea kujitokeza katika mikutano ya hadhara ya Mbunge wao, Eric Shigongo, inayofanyika...

READ MORE

Video: Familia ya Marehemu Jane Urassa Yatoa Tamko Baada ya Mazishi

Mwakilishi wa familia ya marehemu Jane Urassa amezungumza baada ya mazishi ya Oktoba 9, 2026, akitoa tamko kuhusu mambo mbalimbali...

READ MORE

Mkurugenzi Muhimbili Awaondoa Hofu Wagonjwa Wanaopelekwa Mloganzila – Video

DAR ES SALAAM — Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amewaondoa hofu wananchi wanaopelekwa kutibiwa...

READ MORE

Mazishi ya Jane Urassa Yafanyika Wilaya ya Hai, Kilimanjaro – Video

HAI, KILIMANJARO: Mwili wa marehemu Jane Maloo Urassa umepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika Kata ya Same, Wilaya ya...

READ MORE

Barker Aweka Mkakati wa Kuzima Silaha za Yanga, Mngqithi Afichua Maandalizi – Video

Makocha wakuu wa Simba SC, Steve Barker, na Yanga SC, Manqoba Mngqithi, leo Oktoba 9, 2026 wameeleza mikakati yao kuelekea...

READ MORE

Watu 32 Wafariki, 37 Wajeruhiwa Moro, Hospitali ya Rufaa Morogoro Yathibitisha – Video

Watu 32 wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Oktoba 9,...

READ MORE

Familia ya Urassa Yakataa Ukoo wa Kweka Kufika Nyumbani Kwao Kuaga Mwili wa Jane – Video

HAI, KILIMANJARO: Familia ya Urassa imesema haitaruhusu watu wa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu Sinde,...

READ MORE

Morogoro Yatikiswa na Ajali Mbili Usiku Mmoja, Zaidi ya 30 Wadaiwa Kufa, Polisi Wafunguka – Video

Zaidi ya watu 30 wanadaiwa kufariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo, Oktoba 9, 2026, mkoani...

READ MORE

Anayedaiwa Kuuawa kwa Risasi na Mumewe Aagwa Mbezi Beach Dar, Kuzikwa Kesho Moshi -Video

Mwili wa Jane Urassa umefikishwa leo, Oktoba 8, 2026, katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach, Dar es Salaam, kwa ajili...

READ MORE

Chalamila Aonya Machinga Kariakoo, Aweka Kikomo cha Oktoba 24, Awaonya Wazazi Bonyokwa – Video

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa...

READ MORE

Video: Mwabukusi Amtaka Mutungi Kuvifuta Vyama Visivyofanya Shughuli, Atoa Wito kwa Gen Z

DAR ES SALAAM — Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa...

READ MORE

Kabudi: Msitumie Neno ‘Haramu’ Kuwaita Viongozi Wenzenu – Video

DAR ES SALAAM — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi,...

READ MORE

Mwanamke Mjamzito Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kuwaua Watoto Wake Wawili -Video

LIMPOPO, Afrika Kusini — Simulizi ya kusikitisha imeibuka katika Jimbo la Limpopo, Afrika Kusini, baada ya mwanamke mwenye umri wa...

READ MORE

Video: Mr Blue Afunga Bangi Ilivyovuruga Maisha Yake Kipindi cha Ujana

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Mr. Blue @mrbluebyser1988, amefika ndani ya Studio za Global TV kwa ajili ya mahojiano maalum katika kipindi cha #Kontena. Katika mahojiano...

READ MORE

Mara: Wakili Ashikiliwa kwa Tuhuma za Kumuua Mpenzi Wake – Video

MARA: Jeshi la Polisi linamshikilia Wakili Keneth Nkiko, mkazi wa Mwigobero mwenye umri wa miaka 28, kwa tuhuma za kumuua Magreth Richard (22). Kwa mujibu wa taarifa za...

READ MORE

Video: Bodi ya Ligi Yatangaza Mikakati Mipya Kuelekea Derby ya Kariakoo

DAR ES SALAAM: Maandalizi ya Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga yameingia hatua nyingine baada ya Bodi ya...

READ MORE

Maganya Awataka Wakosoaji wa Serikali Kutembelea Miradi ya Maendeleo – Video

MANYARA — Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Fadhili Maganya, amewataka baadhi...

READ MORE

Fursa za Ajira Saudi Arabia na UAE Zatangazwa kwa Watanzania, Maombi Mwisho Oktoba 4, 2026

BRAVO JOB CENTER AGENCY LIMITED inatangaza fursa za ajira kwa waombaji wenye sifa mbalimbali za kufanya kazi Saudi Arabia na...

READ MORE

Shigongo Awataka Watanzania Kulinda Amani na Umoja – Video

BUCHOSA, MWANZA: Mbunge wa Buchosa, Erick James Shigongo, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano uliopo nchini, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Muhimbili Yafanya Mapinduzi ya Huduma za Mama na Mtoto – Video

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewekeza Sh1.8 bilioni katika ujenzi na uboreshaji wa jengo pamoja na miundombinu ya chumba cha...

READ MORE

Shigongo Apandisha Bendera za CCM Buchosa, Aeleza Maendeleo ya Serikali – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na kampeni ya kupandisha bendera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mabalozi wa chama...

READ MORE

Mfanyabiashara Chivayo na Mkewe Wafariki katika Ajali ya Helikopta – Video

MARONDERA, Zimbabwe — Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri

Dodoma, Septemba 29, 2026 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho...

READ MORE

Katambi Asitisha Mfumo wa Pointi kwa Madereva, Aagiza Tathmini ya Kina – Video

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameagiza kusitishwa kwa mfumo wa pointi kwenye leseni...

READ MORE

Video: DCEA Yakamata Mirungi na Bangi Zikisafirishwa kwa Mabasi na Magari

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata watuhumiwa waliodaiwa kutumia vyombo vya usafiri...

READ MORE

Polisi Yaonya Wanaochochea Mgomo wa Madereva wa Mabasi – Video

Jeshi la Polisi nchini limewaonya watu wanaochochea au kushawishi madereva wa mabasi kushiriki katika mgomo, likisisitiza kuwa hatua za kisheria...

READ MORE

Video: Mwanachama wa Yanga Haji Omari Ramadhani Mpili Afariki Dunia

Mwanachama wa Yanga, Haji Omari Ramadhani Mpili, amefariki dunia usiku wa Septemba 27, 2026, akiwa anapatiwa matibabu katika Kituo cha...

READ MORE

Katibu wa CCM Iringa Afutwa Kazi kwa Tuhuma za Maadili – Video

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026 Yamalizika kwa Kishindo Mwanza, Mastaa wa Gospel Wakiwasha – Video

MWANZA — Septemba 26, 2026: Uwanja wa Furahisha, Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, ulikuwa kitovu cha ibada na burudani ya...

READ MORE

Mpigie Kura Godmuya, Kura Yako Ni Ushindi! – Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, Godfrey Nathan @godmuya ameteuliwa kuwania tuzo za Samia Kalamu Awards 2026. 👉 Piga kura kupitia:...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026: Suma Awaunganisha Vijana na Fursa za Maisha – Video

MWANZA — Mratibu Mkuu wa ibada ya kusifu na kuabudu ya Sifa Gospel Fest 2026, Suma Mwaitenda, amewataka vijana kufikiri...

READ MORE

Basata Yatoa Adhabu Kwa Dudubaya na Mratibu wa Tamasha la Miaka 30 Bongo Flava -Video

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa adhabu kwa msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha...

READ MORE

Video: Mkulima Auawa Akatwa Sime ya Kichwa, Wafugaji 2 Wakamatwa

Watu wawili, Festo Selias Chaula na Kelvin Mhagama, wakazi wa Kata ya Tindiga, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wamefariki...

READ MORE

Makonda Atoa Msimamo Wake Kuhusu Umiliki wa Timu ya Taifa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Timu ya Taifa ni mali ya Nchi na si kampuni...

READ MORE

Video: Manara Azitaka Klabu Kubadilika, Asema Vijana Wanahitaji Nafasi

Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, Haji Manara, amezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania kuwapa nafasi zaidi wachezaji vijana...

READ MORE

Dereva wa Tarura Akamatwa Kwa Tuhuma za Kutumia Silaha Bandia – (Picha+Video)

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za...

READ MORE

Miili ya Askari Watano Waliofariki Katika Ajali Yaagwa Singida (Picha +Video)

Miili ya askari watano wa Jeshi la Polisi Tanzania waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Septemba 21, 2026, eneo...

READ MORE