Hadithi Archives - Global Publishers
Hadithi


Insane (Mwendawazimu)-12

ILIPOISHIA Ukawa mwanzo, wakaanza hivyo. Theo hakutaka kuacha, alichoamua kilikuwa ni kumpoteza kabisa Fabian moyoni mwa msichana huyo.

Insane (Mwendawazimu)-11

ILIPOISHIA “Ni nani anamfanya huyu msichana kunichunia hata nikimsalimi? Au hajui kama mimi ni mtoto wa bilionea? Subiri!
Insane (Mwendawazimu)-10

ILIPOISHIA Kila kona shuleni huko, alikuwa gumzo kubwa kitu kilichomfanya kupendwa na kila mtu. Ndiyo kwanza alikuwa na

Insane (Mwendawazimu)-09

ILIPOISHIA Boniface akashtuka, hakutaka kubaki ndani ya ofisi yake, akateremka kwenye ngazi harakaharaka, alipofika chini, akaingia ndani yaDimbwi la Damu-07

ILIPOISHIA “Dada Leah, tafadhali kataa, usiniache peke yangu, nakupenda dada ni wewe pekee niliyekubakiza duniani usiniache tafadhali!” Aliongea


INSANE (MWENDAWAZIMU)-8

MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI ILIPOISHIA “Mungu! Siamini kama nakwenda kuwa baba! Naomba umsaidie Miriam ajifungue salama,” alisema Boniface huku