×


FacebookMichezo

Arsenal Kumtajirisha Zaidi Ozil

MESUT Ozil amesisitiza kuwa ataendelea kuitumikia timu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika hata kama hatakuwa akipata nafasi ya kucheza. Kwa kauli hiyo pekee inamaanisha kuwa…

SOMA ZAIDI


Simba Yazidiwa Ujanja na Yanga

UNAKUMBUKA jinsi Yanga ilivyopangua fitna za watani wao Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam? Basi huko Mwanza mikakati thabiti imepangwa, ambapo itakuwa…

SOMA ZAIDI
Yanga Mapokezi Babkubwa Mwanza

YANGA inatua hapa Mwanza kesho Ijumaa na uongozi wa matawi yao jijini hapa umewaandalia mapokezi ya maana.   Katibu mkuu wa matawi hayo, Mhando Madega…

SOMA ZAIDI

Kocha Mbelgiji Ashusha Straika Simba

SPOTI Xtra limegundua kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems tayari ana majina matatu mezani ya wachezaji atakaowasajili kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu….

SOMA ZAIDINiyonzima: Yanga Njoeni Tumalizane

MARA baada ya kiungo mchezeshaji Mnyarwanda Haruna Niyonzima, kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano wa Yanga, Abdallah Bin Kleb ambaye ndiye aliyehusika katika usajili…

SOMA ZAIDI

Neymar Nje Wiki 4

KIUNGO wa PSG, Neymar ametupwa nje kwa wiki nne baada ya kuumia nyama za paja akiwa na timu ya Taifa ya Brazil. Brazil walikuwa wanavaana…

SOMA ZAIDI


Pyramids Yabadili Beki Yanga SC

AKIWA na uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza kitakachoivaa Pyramids FC ya nchini Misri, kocha msaidizi wa Yanga Mzambia, Noel Mwandila ameanza kumuandaa beki…

SOMA ZAIDIKocha Simba SC Aisifu Beki Yake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amekoshwa juu ya maendeleo ya pacha ya mabeki wake Muivory Coast, Pascal Wawa na Mbrazili Tairone Santos kwa…

SOMA ZAIDI

Caf Yaiongezea Nguvu Yanga

SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limewafahamisha Yanga kuwa wataweza kuwatumia wachezaji wao wa kimataifa mshambuliaji, David Molinga na beki Mrundi, Moustafa Selemani.   Hiyo ni…

SOMA ZAIDI

Tambwe Afurahia Maisha ya Oman

HIVI karibuni aliyekuwa msham­buliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe alijiunga na timu ya Fanja ya nchini Oman na ataitumikia kwa mkataba wa miaka miwili.  …

SOMA ZAIDI