×

Entertainment

Kesi Ya Mauaji Ya Tupac Shakur Yaanza Kusikilizwa Rasmi

Kesi ya kihistoria inayohusiana na mauaji ya nyota maarufu wa muziki wa Hip-Hop, Tupac Shakur, imeanza rasmi katika Mahakama ya...

READ MORE

Filamu 8 Zilizoingiza Pesa Nyingi Zaidi Duniani Katika Historia

Sekta ya filamu imeendelea kuvunja rekodi za mapato duniani, huku baadhi ya filamu chache zikifanikiwa kuvuka alama ya dola bilioni...

READ MORE

Spider-Man Yaendelea Kuvunja Rekodi Katika Soko la Dunia

Filamu mpya ya Spider-Man, Spider-Man: Brand New Day, imeendelea kufanya vizuri katika soko la kimataifa baada ya kuweka rekodi mpya...

READ MORE

Malkia wa Matumaini TikTok Afariki Akiwa na Miaka 26, Familia Yake Yafunguka

Nyota wa TikTok, Sydney Towle, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 26 baada ya kuishi kwa miaka mitatu akipambana...

READ MORE

Matthew McConaughey na Mkewe Wakutana na Papa Leo XIV Vatican

Muigizaji maarufu wa Hollywood Matthew McConaughey na mkewe Camila Alves McConaughey wamekutana na Pope Leo XIV katika Kanisa la Mtakatifu...

READ MORE

Mshtuko Mexico! TikToker César Gastélum Apigwa Risasi Akiwa Mubashara

Mshawishi maarufu wa TikTok kutoka Mexico, César Gastélum, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi alipokuwa akifanya matangazo ya moja kwa...

READ MORE

Ariana Grande Ajiondoa Kwenye Tamasha la London, Aeleza Sababu

Mwimbaji maarufu wa Marekani, Ariana Grande, anatarajiwa kupunguza shughuli zake za kikazi na kuonekana hadharani baada ya kukamilisha ziara yake...

READ MORE

Madaktari Waandika Historia, Wamfanyia Mtoto Upasuaji Kabla ya Kuzaliwa

Madaktari wamefanikiwa kufanya upasuaji wa nadra na wa aina yake kwa mtoto ambaye alikuwa bado hajazaliwa, hatua iliyolenga kurekebisha tatizo...

READ MORE

Uwoya Aonya Wanaomtafutia Migogoro “Usilazimishe Shida Isiyokuwepo”

STAA wa filamu za Bongo, Irene Uwoya, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Insta kuhusu tabia yake katika kushughulika na watu,...

READ MORE

Ali Kiba na Harmonize Watoa Hit Kali ya Mapenzi “Utanionea” – Video

Wimbo huu ni wa mapenzi unaosimulia hisia za mtu aliyependa kwa muda mrefu, akihofia kupoteza penzi lililojengeka kwa miaka mingi...

READ MORE

Video: Wimbo wa Ozalima wa Mbosso Wabeba Hisia Nzito za Mapenzi

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso, ameendelea kuwavutia mashabiki kupitia wimbo wake mpya “Ozalima” ambao umeibua mjadala mkubwa kutokana...

READ MORE

Mapinduzi Mapya ya Kasino Mtandaoni Yaletwa na iMoon Meridianbet

Meridianbet imechukua hatua kubwa katika kubadilisha sura ya kasino mtandaoni kwa kumleta iMoon, jukwaa jipya linaloleta zaidi ya kucheza, linaleta...

READ MORE

Kim Kardashian Afunguka Sababu za Talaka na Kanye West

Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian hatimaye ameeleza kwa kina kilichomsukuma kuachana na rapa Kanye West, baada ya miaka minane...

READ MORE

Binti wa Eminem, Alaina Scott, Atangaza Ujauzito

Alaina Scott, binti wa rapa maarufu duniani Eminem, ametangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mume wake, Matt...

READ MORE

Jasinta Makwabe Atoa Kauli Nzito Kuhusu Diamond Platnumz

Mwanamitindo maarufu wa Afrika Mashariki, Jasinta Makwabe ‘Candy Boo’, amewasha moto mitandao baada ya kudaiwa kutoa kauli nzito inayozua mjadala...

READ MORE

Muna Love Atoa Ujumbe Mzito Kuhusu Amani ya Moyo!

Msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Rose Alphonce Nungu almaarufu kama Muna Love, ametoa ujumbe mzito wa hamasa unaogusa maisha...

READ MORE

Mbosso Abaki Mdomo Wazi Kisa Bonge la Dada!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbosso Khan, amefunguka na kueleza kuwa haingilii kabisa kazi za mwanadada Queen maarufu...

READ MORE

Lady Jaydee Atangaza Kuzindua kitabu chake kipya Juni 9

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, ametangaza uzinduzi wa kitabu chake kipya ambacho...

READ MORE

Majizo Amtakia Mkewe Lulu Heri ya Kuzaliwa kwa Maneno Matamu

Mkurugenzi wa Radio E-FM na TVE, Francis Shiza ‘DJ Majizo’, leo Aprili 16, 2025 kupitia ukurasa wake wa Instagram, amempongeza...

READ MORE

Wild Corrida Kasino Mtandaoni Bora Kuliko Zote

Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na...

READ MORE

Mobeto Ashinda Tuzo Ya ‘Brand Ambassador Bora’

Hamisa Mobeto; ni mwamamama staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ameshinda tuzo ya ‘Brand Ambassador...

READ MORE

Irene Uwoya Asimulia Mapya Kifo Cha Kanumba Hadi Kufungua Kanisa – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kupitia Global TV na kuelezea kuwa Marehemu Steven Kanumba alikuwa ni...

READ MORE

Sloti ya Juicy Fruits Bonasi Kibao, Cheza Sasa Kasino Hii Ufurahie Ushindi Mkubwa

Juicy Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na...

READ MORE

Wiki Ya Maokoto Meridianbet, Atalanta Na Liverpool Wanahela Zako

Kombe la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Imerejea Kibabe Na Meridianbet

Najua unajua kuwa leo na kesho Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itachzewa lakini je unaju kuwa ni wapi utapiga mkwanja...

READ MORE

Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video

Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa...

READ MORE

#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni – Video

Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata...

READ MORE

Harmonize – Tena (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Tena....

READ MORE

Niffer Afunguka Kumpigia Simu Mke Wa Kiba, Ugomvi Uliozuka Kisa Mtoto – Video

Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin ‘Niffer’ ameweka wazi kuwa Ali Kiba ndiye mtu pekee ambaye humueleza...

READ MORE

Ongeza Maokoto na Sloti ya Wild Icy Fruits Kutoka Meridianbet

Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa sloti hii ya kasino ya mtandaoni, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7...

READ MORE

Mpira Ulianzia Wapi? Pesa Zinatoka Wapi? Majibu yapo Hapa

Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira...

READ MORE

Exclusive Video: Rahisa Afichua Ujauzito Wa Patrick, Aanika Sms Za Niffer, Amtumia Salamu Hidaya Njaidi..-Video

KUFUATIA EXCLUSIVE aliyowahi kuifanya Imelda Mtema na Hidaya Njaidi Mama mzazi wa Patrick kuhusiana na mahusiano ya mwanaye na kumtaja...

READ MORE

Video: Niva Ana Watoto 7 Wanawake 7, Afichua Mapenzi Yanavyomtesa – ”Mimba Nabeba Mimi”…

EXCLUSIVE ya GLOBAL TV tumepiga stori nyingi na mwigizaji anayekimbiza Bongo kutokana na namna yake ya uigizaji Zuberi Mohammed maarufu...

READ MORE

Patakuwa Hapatoshi! Huku Fahyma Kule Paula, Rayvanny Apagawa

Patakuwa hapatoshi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo kwa mara ya kwanza,Rayvanny atakutana uso kwa uso na baby mama wake, Fahyma...

READ MORE

Aggy Baby Afunguka Ukweli Kutoka Na Meneja Wake – ”Kajala Na Mitumba, Aniombe Msamaha”-Video

KAMA ni mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea mitandaoni, basi jina la Agnes Suleiman ‘Aggy Baby’ siyo geni kwako. Akifanya mahojiano na...

READ MORE

Exclusive Video: Inspector Haroun Afunguka Bifu Lake Na Juma Nature, Maisha Yake Hali, Muziki

 Msanii mkongwe, Haruna Kahema ‘Inspector Haroun’, mkali wa michano ambaye aliwahi kutamba na ngoma nyingi zikiwemo Pamba Nyepesi, Bye...

READ MORE

Rais Cyril Ramaphosa Akataa Ombi la Mazishi ya Kitaifa kwa Rapa AKA

Ombi la utawala wa mkoa kwa ajili ya mazishi ya kiserikali kwa mwanamuziki maarufu wa Afrika Kusini aliyeuawa wiki iliyopita...

READ MORE

Unapenda Hadithi za Kale, Cheza Sloti ya God of Coins na Ushinde!

Meridianbet wakishirikiana na Expanse Studio wanafanya wepesi katika mwezi huu wenye mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins...

READ MORE

Aviator Summer Flight Ya Meridianbet: Promosheni Bomba Ya Kasino Msimu Huu Wa Sikukuu!

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapojivinjari viunga vya kasino bomba ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa...

READ MORE

Daktari Bingwa Afunguka Mwisho Wema Kukosa Mtoto Apewa Mbinu Mpya

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya wanawake nchini, Godfrey Chale amesema msanii Wema Sepetu hana sababu ya kuendelea kulilia mtoto. “Nimesoma...

READ MORE