×


Mikasa

ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia ya mtandao wa simu.   …

SOMA ZAIDI

AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa la maji lililopo katika Mtaa…

SOMA ZAIDI


DAKTARI NUSURA AUE MTOTO!

MTU akiitwa daktari maana yake ni: “Mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa; mganga aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa za kisasa, (Tabibu).”    Ukisikia…

SOMA ZAIDIVIKOBA VYAZUA BALAA DAR !

KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Bakari…

SOMA ZAIDI
MCHUNGAJI MATATANI KIFO CHA KIBONDE

MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis jijini Dar, Daudi Mashimo amejikuta mikononi mwa poli­si baada ya kuzungumzia kifo cha mtangazaji wa Clouds…

SOMA ZAIDI


KIFO CHA MLINZI CHAIBUA UTATA!

BUKOBA: Utata! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa mlinzi kwenye makampuni mbalimbali, Edward Rweyemamu Ngamera Mkazi wa Nyakanyasi, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera mwili wake…

SOMA ZAIDI

BABA MATATANI UBAKAJI WA MWANAYE

DAR ES SALAAM: AMA kweli dunia imekwisha! Wakati wazazi wengi wakiaminika kuwalea watoto katika maadili mema hali imekuwa tofauti kwa jamaa mmoja aliyetambulika kwa jina…

SOMA ZAIDI