The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi ashtukiza Shirika la Reli

1.Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,Dk. Shaaban Mwinjaka akitazama majengo ya kalakana ya kutengeneza break za Reli.Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka akitazama majengo ya kiwanda cha kutengeneza breki za treni.

3.Dk.Mwinjaka akiwa ndani ya kiwanda hicho,huku wanahabari wakifanya mahojiano naye.Dk. Mwinjaka akiwa ndani ya kiwanda hicho huku wanahabari wakifanya mahojiano naye.

4.Dk.Mwinjaka akihojiwa na wanahabari. 5.Mitambo mbalimbali iliyomo ndani ya kiwanda hicho. 6.Dk.Mwinjaka (kulia) akiwahoji maswali viongozi wa shirika la reli (walioko mbele yake). 7.Wapili kutoka kushoto ni Dk.Shaaban Mwinjaka alipoingia kwenye kiwanda cha kutengeneza break za reli . 8.Viongozi wa shirika la reli wakijibu maswali yaliyokuwa yameulizwa na katibu mkuu wa wizara ya uchukuzi. 9.Taswila ya nje ya kiwanda hicho. 10.Dk.Mwinjaka akielekea kukagua  mabehewa ya mafuta yanayohitaji matengenezo. 12..Waliopo kulia ni wataalamu wa kutengeneza mabehewa waliompokea Katibu mkuu aliposhtukiza kutembelea maeneo ya kulasini yalipo mabehewa hayo. 13.Mabehewa yanayodaiwa kuhitaji marekebisho.

Comments are closed.