×

Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti

WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Wawili hao waliondoka Dar es salaam Jumamosi wiki iliyopita na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja na Raymond Jumatatu ya sikukuu ya Eid (jana)  kwa ajili ya show Mkoani Tanga.xww-jpg-pagespeed-ic-h2f9acl8o0

Wolper na Harmonize wakiwa kwenye bwawa la kuogelea

hh-1

wakila bata pembeni ya bwawa la kuogelea

ommy-1

wakiogelea kwenye bwawa lililopo hotelini hapo

q1

Walipowasili hotelini

qeeeeeeeeeee

katika pozi tofauti baada ya kuwasili

wd

wakiwa na wahusika wa Napanda Safaris

wdqs

wolper akiwa ndani ya hoteli hiyo ya kitalii

 

Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana Harmonize.

Kwa upande wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Tour ambayo iliwapeleka ameandika:

The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other. This left me with memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting  Napanda Safaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!