Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kikombe Mshindi wa Jumla wa Kombe la Mkuu wa majeshi CDF TROPHY mpiga Golf ambaye ni Mkuu wa majeshi Mstaafu Jenerali George Watara mara baada ya mashindano katika Uwanja wa Golf Lugalo Jijini Dar es Salaam jana Septemba 24. Picha na Luteni Selemani Semunyu.