Uchaguzi wa Umeya Ubungo Waahirishwa Global Publishers October 23, 2016 4,614 views SHARE THIS: Uchaguzi wa kumpata Meya wa Ubungo umeahirishwa leo hadi hapo itakapotangazwa tena baada ya madiwani wa Chadema na CUF kususa wakidai CCM imeongeza wajumbe. Madiwani hao wamedai wajumbe wawili wa UKAWA wamehamishwa ili kurahisisha ushindi kwa CCM. SHARE THIS: