DAR ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni barua ambayo uongozi wa klabu hiyo umemuandikia kukataa ombi lake la kutaka kuachia ngazi.
Pluijm aliandika barua kujizulu Oktoba 22, 2016 baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina raia wa Zambia.

