×

Matokeo UEFA: Real Madrid Yabanwa Mbavu Ugenini

madrid-na-warsey-1 madrid-na-warsey-2 madrid-na-warsey-3 madrid-na-warsey-4 madrid-na-warsey-5 madrid-na-warsey-6 ITALY: Ligi ya Klabu Bingwa Barani Ulaya imeendelea tena usiku wa kuamkia leo ikiwa bado katika hatua za makundi huku mchezo wa kusisimua zaidi ukiwa ni kati ya Legia Warsaw dhidi ya Real Madrid ambao ulikuwa wa piga nikupige.

madrid-na-warsey-10Katika mchezo huo imeshuhudiwa Gareth Bale aliyeongeza mkataba wa miaka miwili mwanzoni mwa wiki hii na kumfanya alipwe Euro 346,000 kwa wiki, akifungia Klabu yake ya Madrid goli la kusisimua zaidi ambalo ni la mapema zaidi kwenye historia ya UEFA (sekunde ya 58).

madrid-na-warsey-11Mwanzoni mwa mchezo huo, Madrid walionekana kuwaadhibu mabeki wa Legia Warsaw kwani walikuwa wakilisakama lango la wapinzani wao hao mara kwa mara.

madrid-na-warsey-8Matokeo ya mwisho Legia Warsaw 3-3 Real Madrid.

Monaco ikiwa nyumbani imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya CSKA ya Moscow.

madrid-na-warsey-12Tottenham Hotspur pia ikiwa nyumbani katika dimba la Wembley ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Bayer Leverkusen.

Leicester City ikiwa ugenini ililazimishwa sare tasa dhidi ya FC Copenhagen.

madrid-na-warsey-13Matokeo ya michezo mingine

Borussia Dortmund 1-0 Sporting

FC Copenhagen 0-0 Leicester city

FC Porto 1-0 Club Brugge

Juventus 1-1 Lyon1

Sevilla 4-0 Dinamo Zagreb

madrid-na-warsey-14MATCH FACTS AND STATS

Legia Warsaw: Malarz, Bereszynski, Rzezniczak, Pazdan, Hlousek, Kopczynski, Moulin, Guilherme, Odjidja (Jodlowiec 87), Radovic (Prijovic 77), Nikolic (Kucharczyk 69)

madrid-na-warsey-9Subs not used: Cierzniak, Jodlowiec, Czerwinski, Hamalainen, Broz

madrid-na-warsey-7Real Madrid: Navas, Carvajal, Nacho, Varane, Fabio Coentrao (Asensio 77), Bale, Kovacic, Kroos, Ronaldo, Morata (Diaz 85), Benzema (Vazquez 65)

Subs not used: Casilla, Isco, Danilo, Tejero

Referee: Pavel Kralovec