Video Vixen wanaokimbiza hapa Bongo, Amber Lulu (kushoto) na Kibonge Sexy wakila pozi matata ndani ya studio za Global TV Online mara baada ya kufanya mahojiano leo.

Amber Lulu (kushoto) na Kibonge Sexy wakiwa na presenta wa Global TV Online, Kelvin Shayo (katikati).

Amber Lulu akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online leo.

