Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein amesaini Mswada wa Sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia.
Aidha amesisitiza kwamba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikuvunjwa kamaa ambavyo baadhi ya wadau walidai.


